Kupaua nyumba

jengo

Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
75
Reaction score
8
Wadau nataka kujua gharama za kupaua nyumba ya vyumba vinne,jiko,dinning room na siiting room kwa bati za south.
 
Gharama mkuu sometime zinategemea na sehemu uliko. Sijui kama gharama ya kufanya zoezi hilo Rukwa inalingana na ya Dar. halafu unasema vyumba vinne vina ukubwa gani?
 
Roughly estimation kama ni bati ya Msouth inaweza kufika 8.4ml,

Mbao pekeyake inaweza kufika 3.2ml
Bati nayo inacheza kwenye 3.5ml
Fundi weka 1.7ml

Kwa hiyo kama 8.4ml kwa gharama za Dsm japokuwa inaweza kupungua kidogo kutegemeana na fundi mtavyokubaliana.
 
Mtafute kijana mmoja anaitwa Karisto, ni mtaalamu mzuri sana wa kazi hiyo, hasa kwa bati za South Afrika. Simu zake ni 0767619412, 0655619412 au 0784619412. Ukimpata, ujue kazi yako utaipenda. Ni kijana mdogo, lakini mambo yake makubwa. Yupo kwenye listi ya mafundi waliopasishwa na Nabaki Afrika.
 
asante kwa estimation mkuu

Mtu akipata mchoro ni rahisi kukufanyia estimate ya materials za kupaulia,hiyo iliyofanyika ni rough estimate na ukizingatia kuwa mapaa yametofautia mengine yana manjonjo sana na materials yaweza kuwa mengi,kuna misumari haijawekwa,mbao hutofautiana na huwezi weka decra then ukatumia untreated timbers,so vizuri kuchanganua sana what to be used kama materials.
 
Kijana mwingine mtaalamu aliyepasishwa na Nabaki ambaye kazi zake ziko makini sana huyu happa; Nicodemus 0754552805 na 0784752388.
 
Ni pm mimi ninatumia sim mchoro siwezi pata vipimo, nitaifanya kazi vizuri hata kama haina mchoro nitachora mwenyewe
 
Bure au kwa pesa? sema unaomba kazi ya kuweka bomba kwa gharama nafuu.

HAHA HA!
Nami ukianza kufikiri mambo ya NISHATI YA KUPIKIA NITAFUTE KWAAJILI YA BIOGAS.
Utapata gas safi toka kwa takataka za jikoni na vyoo na pia organic manure. Hakuna mambo ya kuvuta tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…