kupaua nyumba... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kupaua nyumba...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jestina, Mar 6, 2011.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  habari za weekend wana JF?
  mie jamani nimepewa nyumba na baba(ya urithi) haijaisha imejengwa mpaka kwenye 'lenta' ni ya vyumba vinne,sebule na jiko je gharama za kuimalizia itakuwa kama shilingi ngapi? nataka niimalizie kwa steps,kupau nyumba kama hii itakuwa kiasi gani bati la kawaida...ningependa kupata mwongozo wana JF....

  Asanteni.:wink2:
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jamani msaada tutani plz,naamini humu mna experience za kujenga.:decision:
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Mbao sh 2.4M LABOUR laki 7,bati kawaida si migongo mipana sh 1.5m
   
Loading...