Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
mkuu toa mwingine tukufuate maanA jamaa anatula sanA bukubuku zetu.Kupatwa kwa Muhindi Ndio Huku
Hapa Najifikilia Wik end hii Niende wap pa kutumia
Hakuna michezo ninayoidharau kama huo.siishi kwa kubahatisha.
Kwel kapatwa...Kupatwa kwa Muhindi Ndio Huku
Hapa Najifikilia Wik end hii Niende wap pa kutumia
Uyu Kanji Leo Kaka matwaHuo mkeka siyo mchezo
Mkuu,unafikiri aliyekula anategemea kamari ili aishi?,wale mabosi wanaoliwa hadi milioni 200 pale new africa hotel unafikiri wana njaaaa?,ni bora kukaa kimiya kuliko kuongea usichokijua kuhusu maisha ya mtu mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hakuna michezo ninayoidharau kama huo.siishi kwa kubahatisha.
aliyelamba hii bingo namjua blaza,am sure si wewe kutokana na interest zake,usidanganye umma mkuuKupatwa kwa Muhindi Ndio Huku
Hapa Najifikilia Wik end hii Niende wap pa kutumia
Unajua Id Anayotumia Jf.....??aliyelamba hii bingo namjua blaza,am sure si wewe kutokana na interest zake,usidanganye umma mkuu
Huyo hajui upeo wake uko mdogo, kuna watu ni matajiri kinyama na ni wacheza kamari
Swali zuri sana [emoji23]Unajua Id Anayotumia Jf.....??
okay...basi tufanye ni wewe,we don't have to prolong the convo...nikopeshe laki basi mkuuUnajua Id Anayotumia Jf.....??