Kupatwa kwa live instagram leo

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Nadhani watumiaji wa kitu hii mmejionea leo,
Hasa wale wanajiita wasanii full ushamba na kuigana tu, kama wewe hujaingia live kazi Kwako
 
Nimeona live zinabling hata sijaelewa ni nn nkapita zangu nkarudi kujifunza dunia Jf.
 
Insta mimi sitaki kutumia hata kwa malipo mtandao umesheheni wambea na mashoga tu
 
hii miezi ya mwanzoni tutateseka sana na hiyo instagram live baada ya hapo hali itakuwa normal
 
Back
Top Bottom