najua lakini kupatanisha ni muhimu
Ili kuondoa hivyo vinyongo lazima awepo mtu wa kati, maana wao hawawezi tena kuwasiliana kwa amani. Mioyo imetenganaWatu tunaishi kwa vinyongo sana utapatanisha mchana usiku watu wanagombana.
nina wake 2 na nina miaka 35 ya ndoa
Sawa tajiriiiwewe uta shuhudia na lazima urushe taulo๐๐
Jifanye mjanja, soon uta Lia mbwa weeSawa tajiriii
๐ญ๐ Salaleee!Kwani hajui kuwa umeoa?
Nilimaanisha mdogo wako shemeji๐๐ญ๐ Salaleee!
bro mie nina ndoa 2,mmoja ni mtanzania na wa pili sio mtanzania,nina miaka 35 ya ndoa,nina ujuzi mkubwa mno nimepitia kila kitu kwenye ndoa hizoWewe mpatanishi uwe mtu aliyeoa au kuolewa na kudumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 15, utakuwa umesharuka vihunzi vingi, sasa toa maoni jinsi ya kupambana na hivyo vihunzi. Ningependa uwe mwanafalsafa ili ujue namna ya kuchanganua mambo.
Ni kazi takatifu. Na mimi nimeteuliwa somewhere kuifanya hiyo kazi. Ni ngumu ngumu sana ila ni muhimu.Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Wew ni padri au askofu(.....)??Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Nawaangalia tu mimi mashemeji zangu..Nilimaanisha mdogo wako shemeji๐
shemeji ana maanisha mdogo wako๐๐๐ญ๐ Salaleee!
miss you too Shem shem ๐๐, mchumba ake hajambo!Nawaangalia tu mimi mashemeji zangu..
Aiseee nimekuwa busy nimewamiss sana .
Intelligent businessman
Huu mdomo ako huwa ni Kama choo Cha bukoba, full kutema mimaji๐๐Nilimaanisha mdogo wako shemeji๐
Bahati yako shem wangu yupo hapaHuu mdomo ako huwa ni Kama choo Cha bukoba, full kutema mimaji๐๐
Nmekumis pia shem, ubusy ndio maisha shem.Nawaangalia tu mimi mashemeji zangu..
Aiseee nimekuwa busy nimewamiss sana .
Intelligent businessman
Hajambo sana anakusalimia, Je tuhuma ni za Kweli? Kuwa umeoa je??miss you too Shem shem ๐๐, mchumba ake hajambo!
shem Shem hizo ni false rumours ili kuni chafua, huyo Half american kaona ani haribie baada ya mimi kujua kuwa yeye ndio haji manara๐๐Hajambo sana anakusalimia, Je tuhuma ni za Kweli? Kuwa umeoa je??