Kupatanisha wanandoa

Mkuu unaanzaje kupatanisha watu wazima wanaojuana vizuri kuliko wewe unavyowajua? Hakuna mpatanishi wa NDOA zaidi ya Mungu mwenyewe, Ukiona wamepatana jua waligombana physically tu ila akilini na mioyoni bado walikuwa pamoja ndo maana wamepatana
😃😃😃Ukapatanishe watu waliokosana kuanzia mwilini mpaka rohoni utegemee utafaulu hahaha hakuna kitu kama hicho
 
kwanza ni lazima uelewe kuwa nitapatanisha wale ambao watakuja kwangu kupatanishwa
 
Utakuja kula makofi karibu yao ukafa .Ndoa ni taasisi ngumu hata wale wababe wenyewe wanaogopa
 
Hapo umejiandaa kukimbia au
Unajua hili jambo sio kwamba ntakurupuka tu kulifanya,ni lazima kutakuwa na miongozo,mfano:
1.ni lazima kutakuwa na kanuni zake
2.ni lazima kutakuwa na fomu za kujaza kuridhia kupatanishwa
3.ni lazima kutakuwa na gharama za kulipa
4.ni lazima kutakuwa na walinzi wa kike na wa kiume
 
Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili

- umeoa na una miaka mingapi kwenye ndoa?
 
Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Ni wazo zuri sana. Mpaka watu waamue kwa hiari yao kukufuata kwenye taasisi yako watakuwa na nia ya kupatana.

Kikubwa uwe na uelewa au elimu ya saikolojia pia na diplomasia. Sio lazima umesomea chuo, hata ya online.

Vile wazo limekujia, Unaweza na Inawezekana
 
tawire
 
Usithubutu wagombanao sio wajinga,

Ukiona watu wanagombana ujue mmoja kashindwa kuvumilia,mmoja anaona ana haki.
 
Wewe mpatanishi uwe mtu aliyeoa au kuolewa na kudumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 15, utakuwa umesharuka vihunzi vingi, sasa toa maoni jinsi ya kupambana na hivyo vihunzi. Ningependa uwe mwanafalsafa ili ujue namna ya kuchanganua mambo.
 
Hakuna kitu yenye ujinga mwingi kama kupatanisha watu wazima wanao lala bed moja tena wakiwa tupu...😶
Mie ndio maana wapenzi wakija kuniomba ushauri jibu langu moja tuu. Achaneni.
Sasa mnavuana mpaka chupi kuna lipi mnashindwa kujadili baina yenu? Kama mnashindwa pata suluhisho nyie wenye ni vyema mkaachana tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…