middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Wakuu wa sayansi na teknolojia mpoooooh!
Naomba kusaidiwa kupata dstv chanelz bila kulipia PM now!
0657496629

Tafuta antena aina ya CHADEMA V ( omba, iba , ama kabahatishe dampo waweza kuiokota - maana si unataka ya bure) halafu nenda kituo chochote cha polisi (siyo police post) pale counter vua nguo uikojolee antena hiyo ukimaliza ichukue ukaunganishe kwenye Tv yako utapata super sports zote kwa raha zako
Great 'sinker'
Duh wewe ni next level....
Nicheki 0657209956 bei ya come and pick up ni 250,000/-
Ukitaka kuletewa na kufungiwa ni 280,000/-
maelezo zaidi https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=517119
Jipatie DSTV kwa kutumia AZSKY Dongles]BOFYA HAPA[/url]
Hivi mie huku wa bukoba kyaka nawezaje pata huduma yako??๐๐๐
Kama upo serious we upo Bukoba kyaka nina ndugu Bukoba mjini chukua contacts tu
Thankx wangu kweli npo bukoba vijijini poa nkijiweka safi safi ntakuambia halafu sinapata station zote eee??
miaka nenda rudi
Kwa sasa mpaka Zile za HD Zinaonekana yaani ni kama umelipia 130k ya premium ya makaburu
Unakamua zote ushindwe ni wewe tu
Mengine sitoyasema hapa kwa sababu za usalama