Jaribu hio
Simu hizo huwa moja wapo kati ya hizi:
TECNO , SAMSUNG SONY, na nyingine nying
za aina hizi.
Kama simu yako iliyopotea ni android usiwe n
wasiwasi. Hebu tufuatilie njia zifuatazo
zinazoelezea kwa kina namna gani ya kuwez
kuipata simu yako.
>> Kwa kutumia ANDROID DEVICE MANAGE
(ADM) .
° Je, unatumia Google Play Store. Jibu lako bil
shaka ni ndio na kama sio basi hakikisha
umejiunga na Play Store. Kwa nini nimeanza
hili ni kwa sababu ili kujiunga na Play Store
lazima uwe na akaunti ya Gmail. Kwa nini G
kwa sababu hii ndiyo njia pekee
itakayokuwezesha kutambua pahala simu yak
ilipo. Android Device Manager ni programu ya
google inayopatikana karibu katika kila
smartphone ya android. Usijiulize maswali m
na hata kama haujawahi kuiona usiwaze, hii
hufanya kazi ndani ya smartphone yako. Jari
kuisachi kama usipoipata unaweza kidownloa
kupitia Play Store
Programu hii itatusaidiaje?
·Ni rahisi sana. Kama umetimiza
yote hapo juu, punde tu unapogundua
simu yako imepotea tafuta laptop/
computer au simu ya android
nyingine yoyote. Sign-in katika gmail
kupitia kifaa hicho. Ukisha Sign-In
tembelea tovuti ya ADM . Au
search tu google 'Android Device
Manager' na chagua tovuti yao
· Tovuti hiyo ikishafunguka utaweza
kuchagua kifaa chako (Smartphone/
Tablet) ambayo imeshajisajili kupitia
e-mail yako ya gmail.
· Baada ya kuchagua Google
itakuonesha ramani ya wapi simu
hiyo ilipo. Baada ya hapo unaweza
kuchagua kitufe cha ring. Hata kama
aliyeiiba ameshabadili line simu hiyo
itaita kwa muda wa dakika kama
tano.
· Zaidi pia ni jinsi ya kulock simu
yako kupitia huduma hii hii ya ADM.
Utaweza kufanya hivyo kwa kuchagua
kitufe cha Lock. Kumbuka kitufe hiki
kifanya kazi endapo ulifanya settings
za kuruhusu ADM kulock na kufuta
simu. Faida moja wapo pia ya
kutumia option hii ya Lock ni kwamba
unaweza kuandika ujumbe ambao
yeyote mwenye simu hiyo kwa wakati
huo ataiona.
· Pia unaweza kufuta data zote
zilizopo katika simu yako hiyo kama
unahisi imeibwa au imepotea kabisa
kwa kubonyeza kitufe cha Erase.
Njia hii huweza kufanya kazi endapo tu,
umeshajiunga na gmail, na pia simu iwe
imeunganishwa na internet. Hii ndiyo njia bor
kwa mujibu wangu. Usipofanikiwa mara ya
kwanza endelea kujaribu usikate tamaa, kam
mwizi ameiba smartphone lazima nyakati fula
ataingia tu katika mtandao. Akiingia tu basi
kajichanganya. Ni vyema utoe taarifa polisi ni
wajibu wao kuhakikisha usalama wako na ma
zako.