Kupata mtoto wa pili

Kupata mtoto wa pili

Mzungwa unachemsha unakunywa week moja kabla ya kuingia siku za hatari.......Pia mkunde pori unakunywa siku ukiwa kweny siku zako......Nlimfundisha mama hv alikua ni mwalimu alikua akitafuta mimba ya pili aliponea hvo sa hii anawatoto wawili kua na imani tu
 
Chemsha ndio uweke kwenye friji ila ukiweka mzizi uchungu utapungua
Au niiache tu nje? Au niiloweke kwenye chombo af niweke frijini?. Mana period yangu bado mpaka kama wiki tatu kasoro hivi,naona nikichemsha nikaweka frijin kwa muda wote huo inaweza isifanye kazi
 
Mzungwa unachemsha unakunywa week moja kabla ya kuingia siku za hatari.......Pia mkunde pori unakunywa siku ukiwa kweny siku zako......Nlimfundisha mama hv alikua ni mwalimu alikua akitafuta mimba ya pili aliponea hvo sa hii anawatoto wawili kua na imani tu
Aliitumia kwa muda gani akaona matokeo?
 
Back
Top Bottom