Kupata mke au mume wa maisha siku hizi sio kitu kiraisi, upige goti kweli kweli kwa M/Mungu

Me nakwambia uko sahihi kabisa na kweli old is gold. Kuchaguliwa mke/mme si kitu kibaya kama vijana wa kizazi hiki wanavyokigeuza kionekane. Yaani it was x10000 better than whatever nonsense wanafanya siku hizi. Tunachangishwa mikadi ya harusi, ndoa haimalizi miezi 6. Upumbavu tu
 
Kuna broo wa ntaani alikutana na demu december next tear june waamefunga ndoa na michango tukatoa september wameachana yahn hata mwaka tangu wakutane hawajafikisha.
 
Back
Top Bottom