Kupata mke au mume wa maisha siku hizi sio kitu kiraisi, upige goti kweli kweli kwa M/Mungu

Me nakwambia uko sahihi kabisa na kweli old is gold. Kuchaguliwa mke/mme si kitu kibaya kama vijana wa kizazi hiki wanavyokigeuza kionekane. Yaani it was x10000 better than whatever nonsense wanafanya siku hizi. Tunachangishwa mikadi ya harusi, ndoa haimalizi miezi 6. Upumbavu tu

Cha ajabu siku hizi wanachagua wenyewe na ndoa hazieleweki
 
"Christian WIVES - CW - SOMO: MWANAMKE MGOMVI 🍒Kitabu cha Mithali kinatoa maelezo mengi ya baba akimuasa mwanawe wa kiume 🍒Moja ya jambo lililowekewa angalizo ni dhidi ya mwanamke mgomvi 🍒Kama ambavyo tumekuwa na majirani au jamaa wagomvi,hali kadhalika yaweza kutokea mke aliye ndani ya ndoa kuwa mgomvi “Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.” ‭‭Mit‬ ‭21:9‬ ‭SUV 🍒Hili ni pendekezo la kwanza kuwa: mume asiondoke kwenye nyumba kubwa na nzuri anayoishi na mkewe mgomvi,ni heri achague kona ya dari la nyumba hiyo hiyo aishi huko “Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.” ‭‭Mit‬ ‭21:19‬ ‭SUV 🍒Ushauri wa pili kwenye chapter hii hii Mume afadhali kukaa ktk nchi ya nyika kuliko mke mkorofi sifa za mwanamke mgomvi —KIBURI na mashindano “Kiburi huleta mashindano tu; Bali hekima hukaa nao wanaoshauriana.” ‭‭Mit‬ ‭13:10‬ ‭SUV —KUTORIDHIKA ie kuwa na tamaa “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi.” ‭‭Mit‬ ‭21:26‬ ‭SUV —KULALAMIKA kwa ajili ya kila jambo( sawa na mvua isiyoisha) “Kutona-tona daima siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;” ‭‭Mit‬ ‭27:15‬ ‭SUV maneno ya mwanamke mgomvi -Maneno makali kwa mumewe -Kumkumbusha mumewe madhaifu na makosa yake ya siku za nyuma -Huuliza kwa dhihaka ie nimekuambia tena na tena nk mambo ya kujirekebisha -anza kuona mambo madogo mazuri anayoyafanya king na umsifie -amua kumruhusu king awe kiongozi wa ndoa yenu(yeye ni kichwa) -epuka kumwambia mumeo maneno makali madhara ya maneno makali -Mith15:1 huchochea ghadhabu -Mith 13:3 huleta uharibifu -Mith 18:19 yanaumiza -Mith 25:10 yanaleta mtazamo mbaya faida za maneno ya upole -Mith 16:24 yanaponya mifupa -Mith 15:2 hugeuza hasira -Mith 12:25 yanaupa moyo furaha -Mith 15:4 yanaleta uhai
 
"Christian WIVES - CW - SOMO: MWANAMKE MGOMVI Kitabu cha Mithali kinatoa maelezo mengi ya baba akimuasa mwanawe wa kiume Moja ya jambo lililowekewa angalizo ni dhidi ya mwanamke mgomvi Kama ambavyo tumekuwa na majirani au jamaa wagomvi,hali kadhalika yaweza kutokea mke aliye ndani ya ndoa kuwa mgomvi “Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.” ‭‭Mit‬ ‭21:9‬ ‭SUV Hili ni pendekezo la kwanza kuwa: mume asiondoke kwenye nyumba kubwa na nzuri anayoishi na mkewe mgomvi,ni heri achague kona ya dari la nyumba hiyo hiyo aishi huko “Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.” ‭‭Mit‬ ‭21:19‬ ‭SUV Ushauri wa pili kwenye chapter hii hii Mume afadhali kukaa ktk nchi ya nyika kuliko mke mkorofi sifa za mwanamke mgomvi —KIBURI na mashindano “Kiburi huleta mashindano tu; Bali hekima hukaa nao wanaoshauriana.” ‭‭Mit‬ ‭13:10‬ ‭SUV —KUTORIDHIKA ie kuwa na tamaa “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi.” ‭‭Mit‬ ‭21:26‬ ‭SUV —KULALAMIKA kwa ajili ya kila jambo( sawa na mvua isiyoisha) “Kutona-tona daima siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;” ‭‭Mit‬ ‭27:15‬ ‭SUV maneno ya mwanamke mgomvi -Maneno makali kwa mumewe -Kumkumbusha mumewe madhaifu na makosa yake ya siku za nyuma -Huuliza kwa dhihaka ie nimekuambia tena na tena nk mambo ya kujirekebisha -anza kuona mambo madogo mazuri anayoyafanya king na umsifie -amua kumruhusu king awe kiongozi wa ndoa yenu(yeye ni kichwa) -epuka kumwambia mumeo maneno makali madhara ya maneno makali -Mith15:1 huchochea ghadhabu -Mith 13:3 huleta uharibifu -Mith 18:19 yanaumiza -Mith 25:10 yanaleta mtazamo mbaya faida za maneno ya upole -Mith 16:24 yanaponya mifupa -Mith 15:2 hugeuza hasira -Mith 12:25 yanaupa moyo furaha -Mith 15:4 yanaleta uhai

Nipo pamoja na wewe chief

Tupe funzo la mwanaume nayeye
 
Wanaume wanataka mwanamke tu wa kupiga mara moja tu aondoe kikoko na aendelee na mambo yake

Visingizio hawajajipata yaani bado wanajitafuta kigezo cha maisha magumu, wadada nao wanataka wapate uhakika wamahitaji yao yote ndio wavutiwe na wewe bila hivyo akiona tia maji tia maji anakura chocho

Wanawake wanataka mafaza ambao wameshajitafuta na wamejipata yeye anataka akienda awekewe laki yake mezani asaule kesho arudi kwake asikilizie danga lingine akamwage mauno

Wanaume wanataka kulelewa tu hawataki kazi wanachagua wanawake akiona huyu mwanamke kwao mbwa kala mbwa haoi yaani anaogopa kuhudumia familia nzima

Warembo wakali wapo zao tu mtandaoni tu una requests tu mtoto unamuokota getini unamaliza shughuli anaondoka unajizolea magonjwa yako kede kede na kwa muonekano unamuona huyu si ndio wa kumuweka ndani huyuu

Wanawake wamejazana kwa waganga,manabii na masheikh kwa kuwafunga wanaume zao wawaoe lakini wapii

Kwenye kwaya huko na mamadrasa huko usiguse hizo nyanja utakuja ulaani nyumba za ibada bure

Ukimtoa mwanamke kijijini akijua tu mitaa utafurahia na sho, iko wazi wadada hawataki wanaume wa kijijini

Ndoa nyingi sanaa zinavunjika ukichunguza mume anakipato kizuri tu na mke ni mzuri pengine ana degree na wameshazaa watoto , tatizo sijui ni nini!! Na unakuta tangu waoane hata mwaka haujaisha

Walee mliokuwa kwenye ndoa hongereni sanaa nawahusia msiachane endelezeni gurudumu, mnaona humu jf mtu ana miaka 45-50 wanatafuta mke au mme wa kuanza maisha sasa miaka hiyo ya kuanza maisha kweli? Kama mwanamke hapo kizazi chenyewe kimeshakauka mayai andipela

Aisee ni kuomba tu Kwa Mungu swala zima la ndoa ila Kwa mbilinge zako binafs hakuna utakachoambulia

Sisi ambao tupo seriously tunaonekana wahuni tu yaani ukiwa upo bize za kutafuta wa kuoa/kuolewa naye unaonekana mzushi tu kuwa maisha yamekushinda unatafuta pakufia

Wazee wetu zamani walipata mtelezo sanaa Kwa kuambiwa mtoto wa mzee fulani ndio atakuoa/utamuoa simple tu na ndani ya ndoa wamelisongesha wamedumu mpaka 50-60 years mpaka kufa Kwa mmoja wao au kuzeeka wote

Kama unataka wa kuoa au kuolewa naye hakikisha unafunga na kufanya salaa maalum kwa ajili ya kumuomba M/Mungu akujaalie kwa kufanana naye kwani mke/mme mwema anatoka kwa bwana
Unatafuta pa kufia😂😂 any way tuliahakubaliana haijulikani wanawake wanataka nini mpaka sasa . Inasemekana hata wao hawajui wanataka nini

Mwenye hela anaachwa anaambiwa hajui sijui kulala , anayejua kulala anaachwa anaambiwa atafute hela
 
Back
Top Bottom