Vipi anajua kama una stress za kale ka mchepuko?Naunga mkono hoja, maana hata mimi waifu anasemaga, alisugua goti sana sinagogi ndio maana akabarikiwa mimi ambae ndio mume wake leo hii...😊
Asante mkuu, tumeipokea kwa mikono mbili...😊Hongera sanaa mkuu
Anajua sina mchepuko, na nimebaki njia kuu.....😊Vipi anajua kama una stress za kale ka mchepuko?
Wewe huyu...Anajua sina mchepuko, na nimebaki njia kuu.....😊
Ndio mkuu...Wewe huyu...
Kuna broo wa ntaani alikutana na demu december next tear june waamefunga ndoa na michango tukatoa september wameachana yahn hata mwaka tangu wakutane hawajafikisha.Me nakwambia uko sahihi kabisa na kweli old is gold. Kuchaguliwa mke/mme si kitu kibaya kama vijana wa kizazi hiki wanavyokigeuza kionekane. Yaani it was x10000 better than whatever nonsense wanafanya siku hizi. Tunachangishwa mikadi ya harusi, ndoa haimalizi miezi 6. Upumbavu tu
ana kuvumilia tuNaunga mkono hoja, maana hata mimi waifu anasemaga, alisugua goti sana sinagogi ndio maana akabarikiwa mimi ambae ndio mume wake leo hii...
Acha uwongo,Kipindi nipo form2 kuna mkkkt mwenzangu alifunga ndoa yaani mpaka wakakodi na chopa iwatembeze kwa dakika kadhaa. Leo hii imebaki stori. Hichi kitu kilinifanya nitafakari sana.
Sindio mvumilivu hula mbivu....🤣🤣ana kuvumilia tu
unataka kusema ndoa zote ambazo zimevunjika ni kwamba wahusika hawakupiga sala?? au walikurupuka??
hayana formula, kila kitu kinaweza kwenda sawa mwanzoni huko kati kati mkapotezana