kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Inaonekana umekuja utamaduni mpya kwa baadhi ya wanaume kuwaomba wapenzi wao kupata mimba kabla ya ndoa. Nimefanikiwa kuwauliza vijana 20 ambao tayari wapo kwenye umri wa kuoa. Kati ya hao 15 wanataka wapenzi wao wapate mimba kabla ya ndoa. Nikawauliza kwa nini wanataka hivyo, kwa mshangao wengi wao wamenijibu awa waamini wasichana wa siku hizi
Nina binamu yangu ambaye atatimiza miaka 34 mwishoni mwa mwaka huu ambaye bado ajaolewa. Kuna kijana moja ameonyesha nia ya kumuoa kwa condition kwamba lazima apate mimba kwanza. Binamu yangu amekataa kata kata kukubaliana naye amesema hata weza kubali kupata mimba kabla ya ndoa. Mama yake amekuwa na wasiwasi kutokana na umri wake na kikubwa zaidi ndiye mtoto wake wa kwanza.
Wana MMU tatizo sasa mama yake ameniomba nimshauri nini afanye. Kwa sasa sina cha kuanza kumshauri. Sijui nimshauri vipi. Naweza mshauri apate mimba au asubiri mpaka ndoa? Nawasiwasi kijana ataweza kumuacha kwa yeye kukataa kupata mimba kwanza.
Wana MMU, nimelileta kwenu tulonge.