azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Hi all member,
Nimefanya utafiti wangu simple kwa ajili ya kujua biashara gani na weza kuingia na biashara hiyo ikawa na opportunity ya kukua (growth) kulingana na wateja niliowakusudia (target market), nimegundua wasindikizaji wadogo wengi wanapata tabu ya kuwa na product package nzuri na kama unavojua ubora wa bidhaa tu pekee yake unaweza ukakosa soko ikiwa package yake haipo vizuri.
Naomba kama kuna mtu anaweza kuniambia mashine gani (small size mashine) ambayo naweza kuinunua ambayo ikiniwezesha kufanya package kwa bizaa kama vile biscuti, tomato paste, boxes maker, siagi, nk ambayo ubora wake ulingane na kama vile almudhish tomato paste package nk.
Kama huijui hiyo mashine basi nieleze kampuni gani kwa Tanzania inatengeneza package na wapi naweza kuipata.
Ahsanteni