Kupata leseni ya microfinance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupata leseni ya microfinance

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sirghanam, Jan 9, 2012.

 1. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimefanya utafiti mdogo Tanzania haswa mikoa ya kusini na kati nimegundua makampuni mengi yanayotoa mikopo kwa wafanya biashara ndogo ndogo ni ya kutoka nje na yanawabana kwa riba kubwa..

  Ninafikiria kuanzisha microfinance kama ya PRIDE na FINCA.. Ninaomba kama kuna mtu yeyote anayejua mchakato wa kupata leseni anisaidie kunipa maelekezo.. Mchakato wa kampuni nimeshamaliza. Tatizo lilobaki ni leseni. Nimejaribu kutafuta website ya viwanda na biashara naona haipo hewani..
  ASANTENI
   
Loading...