Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Hiyo bachelor yako ni ya chuo gani kwani?wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo wa kuajiri au? nishakuwa sielewi mie