Kupata kazi eneo ulilozaliwa au sehemu ya mbali

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,826
Eti wadau, hivi ni bora upate kazi eneo ambalo umezaliwa, yaani eneo ambalo ndugu zako wapo karibu na wewe au bora upate kazi eneo ambalo ni mbali nao.

Maana ukiwa karibu nao wataona kila hatua unayofanya, vizinga vya hapa na pale visivyoisha, wivu, chuki, au uwe nao mbali ila ukipata shida ukomae mwenyewe hukohuko, mixer kutoyazoea mazingira, kujenga sehemu usiyoipenda au usiyoizoea.

Bora kipi.
 
Back
Top Bottom