Naomba msaada kufahamu requirements zinazohitajika ili mtu aweze kupata internship nje ya nchi kwenye maswala ya kilimo Sana Sana
Sawa Asante Kama ukilikumbuka naomba unijuzekuna kampuni zinazoweza kukuunganisha na hizo internship,iabidi ujiunge katika hizo kampuni maana ndani yake kunakua vikundi vinavyowezesha hayo mambo mfano ni Sugeco Pamoja na moja ipo Dar lakin sema jina sina kwa sasa
Sawa inakuaga mda wowote au Kuna miezi Wanayochukua through out the year.