Nyikanavome
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 482
- 176
Kwa watumiaji wa Zantel CDMA moderm kuna mabadiliko yamefanyika ya malipo ya kupata mtandao kwa wale wa prepaid package. Bei imebaki vilevile shilingi 120 kwa megabite moja lakini lazima uwe na kiwango cha shilingi mia sita ili uweze kupata mtandao. Ukishaconnect tu shilingi miasita inakatwa na unapewa megabite 5 za matumizi hivyo hata ukikaa sekunde moja tu hiyo miasita yako ndio imeshaenda hivyo. Hata mtandao ukikatika kwa bahati mbaya ndiyo umeliwa pia. na kila kuricconect kwa muda huohuo kama mtandao ulikatika unakatwa kama shilingi miambili hivi, imekaaje hiyo au ndio mkakati wa kupunguza watumiaji kuepuka system overload?.