Kupata internet Zantel,namana mpya ya malipo imekaaje hii wandugu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupata internet Zantel,namana mpya ya malipo imekaaje hii wandugu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nyikanavome, Jun 5, 2009.

 1. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kwa watumiaji wa Zantel CDMA moderm kuna mabadiliko yamefanyika ya malipo ya kupata mtandao kwa wale wa prepaid package. Bei imebaki vilevile shilingi 120 kwa megabite moja lakini lazima uwe na kiwango cha shilingi mia sita ili uweze kupata mtandao. Ukishaconnect tu shilingi miasita inakatwa na unapewa megabite 5 za matumizi hivyo hata ukikaa sekunde moja tu hiyo miasita yako ndio imeshaenda hivyo. Hata mtandao ukikatika kwa bahati mbaya ndiyo umeliwa pia. na kila kuricconect kwa muda huohuo kama mtandao ulikatika unakatwa kama shilingi miambili hivi, imekaaje hiyo au ndio mkakati wa kupunguza watumiaji kuepuka system overload?.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Yaani ukipoteza network na hela imeenda? Au inabaki kwenye system yao unaweza kuendelea kuitumia?
   
 3. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ukipoteza network na hela ndio imeenda hivyo na ukijiunga unabidi wakukate tena kiwango kingine japokuwa hakifiki shilingi 600. Yaani mimi nilikuwa naona hela zinaenda kwa kiwango ambacho sijakizoea ndio ikabidi nipige simu customers service ndio wakaniambia wana mfumo mpya wa malipo
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Huo ni wizi sasa! Nadhani hii "Unlimited" deal yao itakuwa imeoverload systems wanataka kuwapunguza watu. Fiber optic cable inatakiwa ianze mwezi huu, lets hope italeta mabadiliko.
   
 5. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kweli tuombe mungu hiyo fibre optic ianze, kwani moderm ninayotumia ni kubwa, 3.1 mb/sec lakini speed ninayopata wakati mwingine ni utata mtupu.
   
 6. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,086
  Trophy Points: 280
  Lol..,kweli tuko behind time..,100mbps is hardly a standard since higher speeds are introduced..,hawa matapeli wanaibia watu na vi 3mbps vyao!duh..,

  kweli TZ ni sehemu ya questionable investors..,those who only care to rip people of and profit from mid-day theft.

  Optical fibre will not reduce prices immediatelly internet is as good as the existing infrastructre.

  sanasana itawapa faida gateways like TTCL etc..,question is will they pass this advantage to wenzangu na mie?

  on the long run though better infrastructure will ofset costs
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli huo ni wizi, wanaanzishaje mfumo mopya wa malipo bila ya kumjulisha mlipaji?
   
Loading...