Kupata haja kubwa kila baada ya juma moja

Team R

Senior Member
Jan 2, 2014
186
32
Nawasalimu wanajf wenzangu,

Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi haja kubwa na akijamba tu kuhisi haja kubwa inapotea.

Je, ana tatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.
 
nawasalimu wana jf wenzangu.ninaswali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba[kaniruhusu kuandika haya]anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi aja kubwa na akijamba tu kuhisi aja kubwa inapotea.je anatatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.,.

kufunga choo ni dalili ya magonjwa mengi tena hatari mwambie aende hospitali mapema.
 
Kula matunda kama Ndizi, papai,parachichi na mengine huwezi kosa choo pamoja na kunywa maji mengi
 
Nawasalimu wanajf wenzangu,

Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi haja kubwa na akijamba tu kuhisi haja kubwa inapotea.

Je, ana tatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.

Huyo Martin Kadinda wako anashikishwa ukuta? Lete habari zake kamili, ukija hapa kutudanganya huwezi pata jibu sahihi. Kama ashikishwi ukuta, je anajichua kwa kujikoki madodoki, matango, na karoti ile sehemu ya niniliu? Funguka kijana wala usituogope, tupo hapa kukusaidia tu.
 
Nawasalimu wanajf wenzangu,

Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi haja kubwa na akijamba tu kuhisi haja kubwa inapotea.

Je, ana tatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.

Mkuu funguka zaidi, sema tu kama unajishindilia midodoki kunduni ama unashikishwa ukuta....woga wa nini? Nyie si mnajitakia wenyewe kufanya hii starehe huko Dar na Zanzibar?
 
Nawasalimu wanajf wenzangu,

Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi haja kubwa na akijamba tu kuhisi haja kubwa inapotea.

Je, ana tatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.

Kama wanavyosema wenzangu hapo juu, funguka we kijana wa Dar....unashikishwa ukuta ama unajishindilia matunda tigoni?
 
Back
Top Bottom