Team R
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 186
- 32
Nawasalimu wanajf wenzangu,
Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi haja kubwa na akijamba tu kuhisi haja kubwa inapotea.
Je, ana tatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.