Habari wana jf mi n mgeni ninaomba yeyote anaejua jinsi y kutumia intanet bure kweny pc nliona post zaman kuhusu ili suala ila ckuweza kufatilia kwa kina sababu c kuwa na pc. Msaada wenu jaman.
Habari wana jf mi n mgeni ninaomba yeyote anaejua jinsi y kutumia intanet bure kweny pc nliona post zaman kuhusu ili suala ila ckuweza kufatilia kwa kina sababu c kuwa na pc. Msaada wenu jaman.
Utakapoanza kutumia internet ya bure hao wanaoziuza watakula wapi,watt wao watasomaje na je, Taifa litapataje maendeleo kupitia kodi ya huyu mtu anauza vfrsh vya internate????
Ushauri wangu brthr nenda tu kanunue bando maana sikuzote vya bure vina madhara.