Kupata data za mtumiaji wa kadi ya NHIF

babkaju3

Senior Member
Mar 9, 2015
118
92
Habari wana Jamii naomba kufahamu kama kuna uwekano wa kujua mfanyakazi wa shirika, kampuni au mfanyakazi wa serikali anae tumia kadi ya afya ya NHIF kama kadi iyo ime beba watoto/wagemezi wangapi na majina yao... Asanteni nategemea majibu mazuri kutoka kwenu
 
Izo data uwa hatuzitoi. Labda umuulize muhusika au HR wa ofisi yake.
 
Back
Top Bottom