Mtiani huja baadae
View attachment 88297
Kwani kuna tatizo gani hapo si anaonyesha pete ya ndoa au?
Haaaa! nawewe umeiona kabisa hiyo pete,Kwani kuna tatizo gani hapo si anaonyesha pete ya ndoa au?
Kwani kuna tatizo gani hapo si anaonyesha pete ya ndoa au?
Usikute hajui Hata maana yake.lol!We NATA weweeeeee, pete ya ndoa mkono wa kulia kidole cha kati??? acha bana, angalia mkono wa kushoto alioshikia ua utaona pete ya ndoa....
Halafu ukute alikuwa akimwonyeshea mumewe akiwa na mama yake (yaani mkwe wa binti), mwee
Kweli hasara siyo lazima iwe na negative (-ve) sign
Duhh...kazi kweli kweli!