Sharti tu nafikiri ni kutokuwa chawa#habarini humu
naomba kujua nivipi naweza pata blue tick
Wewe ndio mjinga na mpumbavu unaedai blue tick,,,, !#ukikua utaacha huu ujinga
Unalipwa per comment kwenye uzi wakoHizo tick zinasaidia nini mnipe mwongozo
Zinasaidia Nini???
Unajulikana...Zinasaidia Nini???
Hujajibu Zinasaidia Nini???zingekua hazina maana nafkiri hata wao wasingeziweka
Kumbe! Asante kwa mwongozo loUnajulikana...