kupat simu

kupat simu

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
naomba msaada ndugu zanguni, naitaji kuagiza simu kutoka ebay,naomba kufaham jinsi ya kuagiza mpaka kunifikia natakiwa kutumia proces gani na je bank gani ambayo naweza kupata msaada kwa haraka
 
Waweza tumia crdb bt uwe na master card yao na uwe registered/activated ili kufanya online shopping and transaction.
 
Back
Top Bottom