Kupasha kiporo

Kupasha kiporo

Habarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha wanabariki ndoa,au watu kila mmoja anaishi kwake au kwao halafu wanapeana mimba na kabla mtoto hajazaliwa wanafunga ndoa.je dhana zote zina maana moja ya kupasha kiporo au.

Infact hata wanaofunga ndoa na wameshaonjana japo hawajapeana mimba nao wanapasha kiporo?

Funzo tusipashe viporo,mimi nadhan nilipasha

yaani nilijua nipo JF Chef kumbe MMU aisee kupenda viropo mbaya sana..
 
Na mimi sioni kwa nini unashambuliwa!
Kupasha kiporo kuna style nyingi. Unaweza kuongeza chai tu na kikashuka baada ya kupasha joto (kwao watu8 ndo maarufu hii). Huku lushoto tunakata kachumbari tunaongezea. Kule kwao Nyani Ngabu na Kiranga wanatengeneza msosi mpya kutoka kwenye kiporo. Huwa unaitwa pudding. Kama ji ubwabwa unamiminia maziwa na spices chache afu unaweka kwa oven.

So ubavu wako tu baba. Kuna mdada mjini aliolewa chuo cha pili yukafanya kitchen party na send off diamond. Na aliuliza kwani mnategemea masufuria na ufundi uliofeli chuo cha kwanza ndo nikautumie kwa mjme mpya?
Nahisi nimewatouch wengi...tukubali ukweli,ni mmoja kati ya mia walio haki ktk hili wengine tulianguka dhambini.full stop,wote viporooo na kiporo ni kiporo tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...yaani wewe ndio umenimiksi kabisaaaa bora hata mleta mada...lol!!

Na mimi sioni kwa nini unashambuliwa!
Kupasha kiporo kuna style nyingi. Unaweza kuongeza chai tu na kikashuka baada ya kupasha joto (kwao watu8 ndo maarufu hii). Huku lushoto tunakata kachumbari tunaongezea. Kule kwao Nyani Ngabu na Kiranga wanatengeneza msosi mpya kutoka kwenye kiporo. Huwa unaitwa pudding. Kama ji ubwabwa unamiminia maziwa na spices chache afu unaweka kwa oven.

So ubavu wako tu baba. Kuna mdada mjini aliolewa chuo cha pili yukafanya kitchen party na send off diamond. Na aliuliza kwani mnategemea masufuria na ufundi uliofeli chuo cha kwanza ndo nikautumie kwa mjme mpya?
 
Na mimi sioni kwa nini unashambuliwa!
Kupasha kiporo kuna style nyingi. Unaweza kuongeza chai tu na kikashuka baada ya kupasha joto (kwao watu8 ndo maarufu hii). Huku lushoto tunakata kachumbari tunaongezea. Kule kwao Nyani Ngabu na Kiranga wanatengeneza msosi mpya kutoka kwenye kiporo. Huwa unaitwa pudding. Kama ji ubwabwa unamiminia maziwa na spices chache afu unaweka kwa oven.

So ubavu wako tu baba. Kuna mdada mjini aliolewa chuo cha pili yukafanya kitchen party na send off diamond. Na aliuliza kwani mnategemea masufuria na ufundi uliofeli chuo cha kwanza ndo nikautumie kwa mjme mpya?

Daah, argument ya wa chuo cha pili imeniacha hoi.
 
Habarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha wanabariki ndoa,au watu kila mmoja anaishi kwake au kwao halafu wanapeana mimba na kabla mtoto hajazaliwa wanafunga ndoa.je dhana zote zina maana moja ya kupasha kiporo au.

Infact hata wanaofunga ndoa na wameshaonjana japo hawajapeana mimba nao wanapasha kiporo?

Funzo tusipashe viporo,mimi nadhan nilipasha

Uhusiano wa mashaka ni mzuri sana
 
Kiuhalisia nimegundua kuwa wote hapa mmekurupuka na nahisi wanaochangia hawapaswi kuwa hapa kabisa nadiriki kuwaita watoto,angalau mmoja amejaribu,ila wengi wenu hamuongelei mada mko nje ya mada na hicho mnachokizungumzia nyie sio kiporo bali matapishi.yaan kumrudia ex wako na kukumbushia thats not kiporo bana hayo ni matapishi umerudia kula

kavu laivu,kama limekugusa lipokee
 
Sisi tunazungumzia tulivyokuwa tumia neno kupasha kiporo ...wewe unataka kujaribu kutafriri unavyotaka wewe hatuta kwenda sawa.Nadhani na mtoa maada aliongelea navyotumia yeye na circle yake ....
 
Kiuhalisia nimegundua
kuwa wote hapa mmekurupuka na nahisi wanaochangia hawapaswi kuwa hapa
kabisa nadiriki kuwaita watoto,angalau mmoja amejaribu,ila wengi wenu
hamuongelei mada mko nje ya mada na hicho mnachokizungumzia nyie sio
kiporo bali matapishi.yaan kumrudia ex wako na kukumbushia thats not
kiporo bana hayo ni matapishi umerudia kula

kavu laivu,kama limekugusa lipokee
ngoja nikueleweshe taratibu, huu msemo ni wa msimu. na tabia mojawapo ya msimu ni kuwa na maana zaidi ya moja kulingana na watumiaji hvyo inawezekana wote tupo sawa kulingana na tunavyoutumia msemo huu ambao ni msimu. usije tena maneno yako ya kwenye taarabu hapa, jadili kwa hoja sio kashfa, hiyo ndo tabia ya great thinker
 
Shurti kubadili flava exkidumu. Juisi ya parachichi na embe, with extra kachumbari.
ngoja tupange basi, hehehe ama surprise?
Hahaha. . .ex-kidumu. . .andaa kachumba kabisa. . .sasa tunakinywea chai au juice ya ukwaju kama kawaida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom