Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha wanabariki ndoa,au watu kila mmoja anaishi kwake au kwao halafu wanapeana mimba na kabla mtoto hajazaliwa wanafunga ndoa.je dhana zote zina maana moja ya kupasha kiporo au.
Infact hata wanaofunga ndoa na wameshaonjana japo hawajapeana mimba nao wanapasha kiporo?
Funzo tusipashe viporo,mimi nadhan nilipasha
Infact hata wanaofunga ndoa na wameshaonjana japo hawajapeana mimba nao wanapasha kiporo?
Funzo tusipashe viporo,mimi nadhan nilipasha