Kupanga ni Kuchagua

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,910
Reaction score
130,014
Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe hauawi.
Weekend njema.
Your browser is not able to display this video.
 
Kosa nilifanya nilianza kujenga nyumba ya ndoto zangu (dream house) nikayumba katikati. Imenichukua muda mrefu sana kuijenga na bado haijakamilika nitakavyo.
Natamani ningepata ushauri kabla nikajenga nyumba ya kwanza ndogo ya gharama rahisi (Simple first house).
Najutia hili kosa.
 
Unajipinda unakuja kumaliza nyumba ishakuwa na muonekano wa kizamani.
 
Hapa nilitaka kusikia maoni ya watu. Hio gharama ya nyumba ya vyumba viwili (16m) ni realistic au ndio wale motivational speaker?
Alisema kuna wabongo wanauwezo mdogo wa kuchakata mambo...yeye mwenyewe (akajiita source) kasema nyumba kajenga kwa M16 wewe unakuja unabisha.
 
Kosa ni kujutia hayo mengine yote upo sawa vzr tu
 
Alisema kuna wabongo wanauwezo mdogo wa kuchakata mambo...yeye mwenyewe (akajiita source) kasema nyumba kajenga kwa M16 wewe unakuja unabisha.
Naona unajionesha wewe ulivyo na uwezo mdogo wa kuchakata mambo. Ni wapi nimebisha? Hivi kwanini mnapenda kukurupuka kama ngiri? Hukuona alama ? Au kwako haina maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…