Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
- Thread starter
-
- #21
Kwenye hyo 350k kuna kahela kake ka juu watot wake wasife njaa-njie mnaofa hyo safar ya mliman mnatoka kampun gan?
Msiwe wapuuzi wadanganyika. Hiyo gharama ni nafuu sana. Cost halisi za kupanda mlima ni kubwa ukilinganisha na hii ya hawa jamaa. Mm sina pesa lakini still naafiki na bei.
Kwa mnaoweza mjaribu kutafuta uzi wa zamani uliowahi kuelezea mchanganuo mzima wa kupanda Mt. Kili kisha mjionee. Tusiwe watu wakupinga pinga tu ovyo.
wasikukate moyo tupo wengi tutakaofikausijali kijana kazi nzuri!Habari za sikukuu ya Pasaka?
Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.
Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk
Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.
Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.
Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net
Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)
"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
Kwanza niseme wewe huna pesa ya mimi kukutapeli,pili inaonekana ni wa kulelewa huwezi toa hiyo pesa laki tatu na nusu.
Sawa menu unaweza kupewa lakini wewe huna hizo pesa za kulipa,sasa upewe Menu ya day to day (na siyo day by day) kama wewe ulivyoandika,hata kiingereza cha kitoto kinakushinda.??
Hili zoezi la kupanda mlima sio lazima upande na kampuni yangu,tafuta kampuni nyingine utakayokubaliana nayo masharti na vigezo vyako. Katika group zote ninazopeleka mlimani watanzania ni 2% angalia moja kati ya wageni wangu,japokuwa wengine hawapo kwenye video https://www.youtube.com/watch?v=a8rPnJI0GVM
Kama huu ni wizi na utapeli peleka kesi polisi.!
Wewe ni bwana mdogo sana hujajua hata kutumia jamvi. Tena unapoandikiwa kitu na mtu jamvini angalia umri wake jamvini. Jifunze kwanza kuongea kabla ya kuongelea jambo. Tena inaonesha wewe ni mwenye IQ kiduchu na biashara unakurupuka. Principle ya kwanza ya biashara uliyoivunja "Biashara Haigombi" sasa wewe unagomba si utakuwa tabularaza?

Habari za sikukuu ya Pasaka?
Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.
Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk
Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.
Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.
Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net
Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)
"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
Habari za sikukuu ya Pasaka?
Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.
Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk
Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.
Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.
Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net
Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)
"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
Kuna jamaa yangu anapenda kushiriiki shida anavuta sigara pkt 2 kwa siku!!! Ataweza kweli?
Kuvuta sigara siyo shida kubwa,ikiwa hana magonjwa kama TB,KISUKARI,PUMU na yupo fiti,njiani atapata muda wa kupumzika na kuvuta sigara zake.
Kisukari kina shida gani mkuu? Ninacho na nimewahi kupanda Meru, hebu nidadavulie kidogo
Wagonjwa wengi wa KISUKARI wana kula vyakula maalum walivyoshauriwa na daktari,sasa kwa jigrafia ya mlima Kilimanjaro si rahisi kupata vyakula vyote hivyo,pia wengi wao huchoka mapema sana kwa hiyo huenda wakawa mzigo kabla ya kufika kileleni. Kikubwa inategemea na hali ya ugonjwa wako,kama haujakuathiri sana bado una nafasi ya kufanya mambo mengi bila shida kama kazi ngumu kama kupanda mlima nk.
cku nkija huko ntakucheki mkuu,napenda sana tour ya mlima ingawa sijawahi fanya,ntakutafuta ili uniongoze ktk hiloHabari za sikukuu ya Pasaka?