Kupanda kwa bei ya mahindi

Baada ya miezi 3 mahindi yatauzwa 120,000/=
mwenendo wa mavuno hauridhishi Hali ambayo itapelekea kuwe na upungufu wa mahindi ndani ya nchi
 
Mbaya zaidi mvua haba za march watu wamepanda na mbegu wanezikaanga.Hali ni tete kwa kweli
 
Afadhali wakulima tunaumia sana

Mwaka jana nililima sehemu ngumu kwa usafiri...gunia lilikuwa linauzwa kijijini 30k...kulisafirisha 10k ukiuzia shamba 20 k

Unapata wapi nguvu ya kulima tena

Mahindi yafike laki 2...mkulima ataweza kuwekeza sehemu nyingine kama ujenzi na mzunguko wa pesa utakuwa vizuri
 
Stress mbaya sana
 
Kilimo kinalipa na hasa ukiwa na subira ya kuhifadhi mzigo kwenye ghala lako hadi kipindi cha February au machi.

Ukiuza wakati wa mavuno huwezi kupata faida
 
Kilimo kinalipa na hasa ukiwa na subira ya kuhifadhi mzigo kwenye ghala lako hadi kipindi cha February au machi.

Ukiuza wakati wa mavuno huwezi kupata faida
Katavi Watu wanatoa maindi tangu kati kati ya mwezi wa machi kaka. Weka taarifa zako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…