Kupanda kwa bei ya gesi ya kupikia

Mi sikcoment chochote mana hata ungeongea mpaka mdomo uote sugu jk hasikii wala haelewi.
 
na mitungi miwil nauza , kati ya 70 na stini maana watoto waniuliza basi baba toboa tuweke maji, au niuhuze kama chuma chakavu, yani kutoka 34 to 46 inatisha
 
Yaani ni aibu mtu kujiita kiongozi kipindi hiki

sasa ebu ona 50% increase in price ya gas within a period of hardly four months sasa hiyo mitungi tufanye viti vya baa au?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom