Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 128
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.
Hiyo sababu inaeleweka, hamna mbaya!Tanzania Breweries Limited (TBL) wametangaza kwamba kuanzia tarehe 14 february 2011 bei za bia wanazotengeneza itapanda.... wakielezea sababu mbali mbali nyingi zikiwa ni kupanda kwa gharama za uzalishaji....
Hata mimi nimesoma kwenye mwananch,nikajiulza je mbona bei za bidhaa muim znapopanda hatutangaziwi,kwa mfano sukar huku kwetu elfu 2,ngano elfu mia 1,unga wa sembe mia 8-mia 9,mkate wa mia 7 now mia 8 na 50,lakin sijasikia tangazo,kwani hakuna wazalishaj kama wa TBL?Mtakoma mnao jiua kwa gharama kubwa na bado sijui kwa nini hawauzi elf10
Hata mimi nimesoma kwenye mwananch,nikajiulza je mbona bei za bidhaa muim znapopanda hatutangaziwi,kwa mfano sukar huku kwetu elfu 2,ngano elfu mia 1,unga wa sembe mia 8-mia 9,mkate wa mia 7 now mia 8 na 50,lakin sijasikia tangazo,kwani hakuna wazalishaj kama wa TBL?
kupanda kwa bei ya bia na "jukwaa la siasa" vinaingiliana vipi hapa??!!!!!!!!!!!!!... Hebu peleka tbl zako kwenye business & economy
:a s 20::a s 20::a s 20:
Acha kubwabwaja bana hii mada sio mahala pake hapa... siku nyingine uandike mada panapohusika sio kurupuka tu, au umeona ukiweka business & economy hutapata ATTENTION jitetee basi kidogo nikuelewe!!!
Na suala la ulokole linaingiliana vipi hapa kwenye "jukwaa la siasa", yani bado unateleza tu, suala la sadaka limetoka wapi tena mimi na wewe nani mwenye busara sasa.... usikurupuke wala kuropoka tena sawa bwana LAT!....:A S thumbs_down::A S 20: