Kisheria wanatakiwa wapande mwka 2015/2016 Watatoka TGTS D kwenda TGTS E, ila kumbuka kupandishwa kwa daraja kunategemeana na bajeti, Nidhamu, Tange na Umakini wa TSD na idara ya elimu ktk halmashauri husika.
Mm huwa hawaeleweki waweza kaa Haya miaka6,huku wakiwa hawasemi chochote,kisheria unatakiwa kupanda,2017,yaan mwakani,kupanda daraja ni
kila baada ya miaka3,kama unaanza kazi unakaa minne,mmoja was probation!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.