Vocal Fremitus JF-Expert Member Joined Oct 20, 2016 Posts 1,353 Reaction score 6,981 Sep 22, 2022 #41 Mlolongo said: Sio kweli. Sema mie yangu ni piston 4, 1290cc tofauti na hizi zenye piston 3, 990cc wanazozisema sana. Click to expand... Gari ikishakua piston 3 kwangu nahisi kama naendesha pikipiki tu. Nilikuaga na suzuki kei piston 3 cc650 kwa namna ilivyokuja kunisumbua mpaka nimekuja kupata mteja nikauza nilienda kutoa sadaka kabisa
Mlolongo said: Sio kweli. Sema mie yangu ni piston 4, 1290cc tofauti na hizi zenye piston 3, 990cc wanazozisema sana. Click to expand... Gari ikishakua piston 3 kwangu nahisi kama naendesha pikipiki tu. Nilikuaga na suzuki kei piston 3 cc650 kwa namna ilivyokuja kunisumbua mpaka nimekuja kupata mteja nikauza nilienda kutoa sadaka kabisa
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,844 Reaction score 7,904 Sep 23, 2022 #42 Mlolongo said: Sio kweli. Sema mie yangu ni piston 4, 1290cc tofauti na hizi zenye piston 3, 990cc wanazozisema sana. Click to expand... Binafsi gari za engine ndogo sijawahi kuzielewa
Mlolongo said: Sio kweli. Sema mie yangu ni piston 4, 1290cc tofauti na hizi zenye piston 3, 990cc wanazozisema sana. Click to expand... Binafsi gari za engine ndogo sijawahi kuzielewa
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,341 Reaction score 37,783 Sep 25, 2022 #43 desayi said: Vipi mkuu passo iko poa hizi story za kutetemeka usukani ni kweli Click to expand... [emoji1][emoji1][emoji1]
desayi said: Vipi mkuu passo iko poa hizi story za kutetemeka usukani ni kweli Click to expand... [emoji1][emoji1][emoji1]
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,818 Sep 27, 2022 #44 Wale jamaa wapo vema sana hiyo gari watainyoosha hauta amini.