Unaweza kununua simu mtaani 90,000 halafu ikaharibika kioo ukaambiwa kutengeneza kioo ni laki mbili.Kama hii sehemu unayoiongelea ni AutoBot wale wa pale Tazara vingunguti nakushauri waachie gari wafanye kazi!..
Hutojutia kuchangamka kwa bei zao!.
Inawezekana sana tu!..Tafuta galaxy A series haribu kioo 😀😀😀Unaweza kununua simu mtaani 90,000 halafu ikaharibika kioo ukaambiwa kutengeneza kioo ni laki mbili.
Ilinikuta kwenye Samsung S3. Nilinunua 80,000 kioo naambiwa 130,000. Wakati hapo napata S3 nyingine.Inawezekana sana tu!..Tafuta A series mtaani haribu kioo 😀😀😀
Ila hakuna mkebe wa chini ya 2Mil.
Huko bei atakayopigwa sidhani kama itakuwa rafikiNenda sms garage wapo kijitonyama mtaa wa Algeria...hutojutia,.
Kama injini yake nzima kabisa shuka nao mpaka moja then fanya kazi ila kama kuna vitu havipo sawa bora hata ubadili injini afu mambo ya rangi mbele kwa mbele kuliko kurekebisha rangi afu baada ya muda tu gari liwe linashinda gereji
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo kwa kusafiria nyota hatujamboWanasema wachina lakini ukiingia unakuta kazi zote zinafanywa na wabongo
Kinachotukwamisha ni ujuzi kwa kiasi kidogo na vifaa kwa kiasi kikubwa.Wanasema wachina lakini ukiingia unakuta kazi zote zinafanywa na wabongo
Shukrani Boss. Nimekua nayo kwa Miaka 3 sasa. Kusema kweli Engine ipo vema. Uwa najitahidi kuwahi kubadirisha Oil na service za muhimu kwa wakati so sijaona Matatizo kabisa hadi sasa.Kama injini yake nzima kabisa shuka nao mpaka moja then fanya kazi ila kama kuna vitu havipo sawa bora hata ubadili injini afu mambo ya rangi mbele kwa mbele kuliko kurekebisha rangi afu baada ya muda tu gari liwe linashinda gereji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasas wabongo tunafeli wapi?Wanasema wachina lakini ukiingia unakuta kazi zote zinafanywa na wabongo
Bei zao 2.5m minimum nadhaniHuko bei atakayopigwa sidhani kama itakuwa rafiki
Hao siwajui me!..Mkuu ni Sokota opposite na ile Total Shell geti lao limeandikwa tu China Garage.