Salaam mu-bukheri?
Sasa mie umri ni kama 63 hivi. Nimeota mvi dawa yake ni nini?
Pia nimeota meno mapya baada ya kukaa mapengo muda kadhaa. Halafu mkono wa sweeta kwa mbaali naona kama wataka rudi vile kwa sasa umeshaota mpaka robo kichwa.
Dawa yake nini?
Picha nitaweka baadae.