Kuongeza urefu wa kimo

Kuongeza urefu wa kimo

Ukishakuwa mkubwa huwezi tena..., ila ukiwa mdogo / mtoto na unamatatizo ya ukuaji unaweza ukapewa medication za kuhakikisha unakuwa kulingana na potential yako...; Ndicho alichofanyiwa Messi na Barcelona
 
Wadau mimi naomba niulize, hivi kuna dawa youote ya kuongeza urefu wa mwili (kimo). Na imedhibitishwa kihalali?

Kimo chako kiko kama cha kajamaa kanajiita gentamycine? Huwa tu watu tufupi tuna makeke sana ili tuonekane kama yeye. Huyu hapa. Gentamyice akitafuta wateja
 
Kama bado hujafikisha miaka 19 unaweza kuanza mazoezi ya ku stretch mwili utarefuka, mimi nilikuwa mfupi mpaka namaliza form four nilikuwa kama mtoto wa form one,

Nikaingia youtube nikaanza mazoezi ya kurefuka ndani ya mwaka tu nikarefuka sasaivi ni mrefu nina futi sita na point.
 
Formula ni moja oa/olewa na mtu mrefu

Mume mfupi (tt)..........Mke mrefu(TT)

Watoto wote watakuwa warefu mseto (Tt)

Formula hiyo ikiendelea vizazi viwili, tayari mnafuta ufupi kwenye familia yenu

Ila kwasasa hakuna dawa ya kuongeza kimo
 
Back
Top Bottom