Kuongeza nguvu ya betri la laptop

Kuongeza nguvu ya betri la laptop

Hosea alute

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Kama kuna MTU yeyote anayeweza kuchokonoa betri la laptop ili liweze kukaa na chaji mda mrefu ......tupeane idea
 
Kama kuna MTU yeyote anayeweza kuchokonoa betri la laptop ili liweze kukaa na chaji mda mrefu ......tupeane idea
ok, BETRI KAMA HALIKAI NA CHAJI MUDA MREFU NA BETRI HALINGIZI CHAJI KABISA MATATIZO TOFAUTI
BETRI KAMA HALIINGIZI CHAJI KUNA SAKETI MULENDANI YA BETRI INAYONGOZA MSIMAMO MZIMA WA CHAJI KUCHA BETRI NA KUTOA CHAJI KAMA IMEKUFA HAIWEZI KUTOA WALA KUINGIZA HADI UPIME NA KUGUNDUA TATIZO KISHA LIWEKE SAWA ITAANZA KUINGIZA CHAJI KAMA KAWAIDA NA MSAA YA KUKAA NA CHAJI YATAKUA VILE VILE KAMA LINAINGIA CHAJI ILA LINAKAA MUDA MDOGO BASI NDANI YA BETRI KUNA BETRI MBOVU INABIDI UBADLISHE FUATA HATUA HIZI
nimekuelewa kitu unachotaka ila sio mbaya kama unavifaa vya kutosha fanya iv chomoa betri kwenye laptop yako kisha lifungue hilo betri ndani utaona kuna betri zipo kama za radio ila sio za kwake zimengana kupitshwa kibati cha shaba sasa hapo kuna machaguo mawili unaweza kwenda k/koo kununua betri kama hizo za ndani au kama una betri ya laptop nyengine yeyote ambayo haingizi chaji kabisa infungue kisha pima betri zote kama zipo vizuri kisha amishia huku kwenye upungu wakuto kaana chaji muda mlefu
 
unatafta shoti kwa nguvu wewe, nunua betri mpya mkuu iyo ishachoka tena
 
hapo kuna mambo mengi sana
-hujasema laptop yako inatumia cpu gani,
-hujasema sasa hivi inakaa na charge muda gani
-zamani ilikuwa inakaa na sasa hivi haikai au toka inunuliwe haikai
-ukubwa wa hilo battery etc
 
Kama kuna MTU yeyote anayeweza kuchokonoa betri la laptop ili liweze kukaa na chaji mda mrefu ......tupeane idea
Kabla ya kufikiria hilo la kuongeza nguvu kwanza hebu tupe historia ya marehemu akiwa hai aliishije! Maana waweza taka kuongeza battery uwezo kumbe tatizo ni la mfumo wa pc yako tangia uumbwaji wake. Maana kama ni la kimfumo bado utakuwa na changamoto ya vitu vingi waweza badili mfumo wa battery lakin pc yako isiutambue na ukabaki na shida hiyo hiyo au ukazid,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom