Kuongeza daraja la leseni ya udereva

Kuongeza daraja la leseni ya udereva

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,040
Reaction score
1,273
Habari wana Jf
Nahtaji kuongeza daraja la leseni yangu ya udereva,nahtaji class C3,hii niliyonayo ina Class A,A2,B,D,na G tu,sasa nahtaji C3 itanitosha,kwa anaejua naomba maelekezo jinsi ya kuipata,au kama kuna mdau anajua process mtu anamjua ani pm ili tuone tunaanzia wapi....Nitashukuru
 
Uber zitawaua vijana mnapenda kitonga sana! Well ni hivi,huwezi kupata C ya aina yoyote ile bila kuwa na E hivyo ni vyema ukaenda NIT kusoma kozi ya Heavy Goods Vehicle(HGV) kwa muda wa mwezi mmoja ada yake ni 540,000/= ukifanikiwa kufuzu mtihani wa mwisho ambao ni test barabarani utatunukiwa cheti ambapo utaenda Tra pamoja na leseni yako kisha utapewa daraja E,unatakiwa ukaifanyie kazi miaka 3 kisha urudi tena NIT ukasome kozi ya PSV kwa muda wa week mbili ada yake ni 200,000 hapo sasa utapewa cheti na kwenda Tra kisha utapewa daraja c1 c2 na c3. Kila la heri kijana! Hakikisha ukienda NIT leseni yako uwe umeifanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja na uwe dereva kweli maana watakutest kwanza!
 
Sio kweli unachoongea,nishapewa muongozo unapotosha sana bro,alafu tusikalili maisha........zama zimechange hizi!
 
Unapenda shortcut eh? Yote hyo kisa uber tu
Sio kisa Uber?,nilishajisajiri huko Uber muda mrefu na naendesha,last time ulipotosha info kuwa bila C huendeshi,lakini nilienda na nimesajiriwa,sisi tunapenda Shortcut haya,ila wewe unaependa Longcut msalimie tajiri mwenzio Mo Dewji na Bakhresa
 
Wanaotoa leseni kwa njia za mkato wanachangia sana kutuchinja huku mabarabarani fuata utaratibu uliopo kisheria usicheze na roho za watu
 
Uber zitawaua vijana mnapenda kitonga sana! Well ni hivi,huwezi kupata C ya aina yoyote ile bila kuwa na E hivyo ni vyema ukaenda NIT kusoma kozi ya Heavy Goods Vehicle(HGV) kwa muda wa mwezi mmoja ada yake ni 540,000/= ukifanikiwa kufuzu mtihani wa mwisho ambao ni test barabarani utatunukiwa cheti ambapo utaenda Tra pamoja na leseni yako kisha utapewa daraja E,unatakiwa ukaifanyie kazi miaka 3 kisha urudi tena NIT ukasome kozi ya PSV kwa muda wa week mbili ada yake ni 200,000 hapo sasa utapewa cheti na kwenda Tra kisha utapewa daraja c1 c2 na c3. Kila la heri kijana! Hakikisha ukienda NIT leseni yako uwe umeifanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja na uwe dereva kweli maana watakutest kwanza!
Dah broo umelezea vizuri mno adi nafurahi kweli asante sana kwa ufafanuzi wako ila mm pia na shida kaka mm nipo kitunda ukonga ndoto yangu ni kuwa dereva wa magari makubwa ila sijawai kuendesha gari yyt ndo nimeenda kujiunga ja shule ya kufundisha gari ila wameniambia mpaka niwe na cheti cha taifa naomba kuuliza ukianza kujifunza gari leseni gani unapewa .. natanguliza shukurani
 
Sio kisa Uber?,nilishajisajiri huko Uber muda mrefu na naendesha,last time ulipotosha info kuwa bila C huendeshi,lakini nilienda na nimesajiriwa,sisi tunapenda Shortcut haya,ila wewe unaependa Longcut msalimie tajiri mwenzio Mo Dewji na Bakhresa
Dah kwaiyo unamaanisha uyu broo anatupotosha kumbe eee maana mm ndo naanza kujifunza gari nkimfata napotea kumbe kwa maisha yetu ss mtaani short cut ni muhimu sana sasa upete leseni ukae miaka au mwaka mzima kweli ndo mpk upandishewe au upewe leseni nyingine
 
Back
Top Bottom