Habar wadau mimimni mwanafunzi na napenda kuwa mwalimu hapo baadae ila nashindwa kutofautisha katika matamshi r na l pia the na ze je naweza kubadilika na je ni kwa kufanyaje natanguliza shukran zangu
Kama wewe na Mkurya na umekulia kule ukuryani tatizo lako la R halina ufumbuzi we kafundishe hivo hivo utaeleweka tu na kama ni ndugu yangu wa Katavi na wewe L ndo tatizo wewe nenda hivo hivo watakuelewa tu mbele ya safari