Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

Duuuh..kuna msenge..mmoja wa kolomije huko..alikuja geto..sasa anakademu wana mipango ya kuoana..jamaa ni kijana mkubwa tu kamaliza chuo ila kaanza kuongea sa4 mpka sa9 usiku aisee..nilichukia ikabidi nimtukatane aseee..

mambo gani ya kuharibiana usingizi..kisa mapenzi ya kishamba..kweli nmeamini ushamba wa mapenzi ni mzigo..hawa ndio wanaopigwa chini anaenda kujinyonga..
 
Kweli akikua ataacha..ila cha kushangaza kuna mingine mitu mizima kabisa sa unajiuliza litakua lini hili..halafu bora uongee ukiwa geto pekeako sasa mpo na masela mmelala jitu linaongea usenge wake..inaboa sana..ulimbukeni tu.
Alfu hawanaga ata aibu
 
Waacheni waandamane eeeh na ujinga wao ssem namba wani
FB_IMG_1506019431176.jpg
 
Ktk mtihani Wa fom4 ckuwai kusoma ucku kila ucku nlikua naongea na cm mpaka saa Tisa cjui nlikua na pepo hua celew kabisaaa
 
Enzi zileeeeeeeeee

Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri

Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???
Embu lala uko ...[emoji2][emoji2][emoji2]
 
ahaa utakosaje maneno? inategemea ila maongezi kwa wachumva ambao wako mbali lisaa love nwtisha. ahaaa wewe mpaka asubuhi?? kazin utaenda sa ngap?
 
Story za uchokozi/maswali ya hapa na pale hua hazichoshi

Ukutane na mnogesha story swali moja anakuelezea hata kwa dk15 then vistory kidogo n.k mnajikuta lisaa limekata gafla bila kuchoka
 
Back
Top Bottom