Mkuu usijaliHakuna nilipomtaja mtu ndugu yangu usinitafutie kasheshe ikawa noma ikazaa nongwa buuree, tukaanza kuviziana bila sababu
Na bastora juu, ikimbie dhambi ya kutaja watu kama zinaa!!!Hakuna nilipomtaja mtu ndugu yangu usinitafutie kasheshe ikawa noma ikazaa nongwa buuree, tukaanza kuviziana bila sababu
Kama ni huyu hiyo ni nature yetu.Nisingependa kumjadili mtu bali hoja
Unapotoa mada ama simulizi ama maelekezo ama ujumbe tahadhari na kuhurubu body language ni kitu muhimu mno
Unaichota hadhira unaisoma kisha unacheza nayo unavyotaka....inategemea muktadha ninini.....! Lakini penye uchungu onesha uchungu...penye kukemea kemea... Badilika unapoonya na kufanya utani ama kushauri nk nk
Usibaki n mood moja tu mwanzo mwisho, mishipa ya shingo na kichwa ikakukakamaa kwa kutumia nguvu nyingi mno ETI kuonesha utungu na msisitizo...hutuba ya dakika sitini itakuacha na homa...ukitoka hapo itabidi umeze tembe za maumivu
Kila jambo lina taratibu zake na mikataba yake ambayo baadhi ulihusika kuisaini ama kuipitisha ama kuiasisi...tumia taratibu zilezile bila kutoka jasho .....!!! Wanakuangalia tu na kukucheka huku wakikubeza....kwakuwa wanajua kwa hakika wewe ni nani....
HahahaHakuna nilipomtaja mtu ndugu yangu usinitafutie kasheshe ikawa noma ikazaa nongwa buuree, tukaanza kuviziana bila sababu
Asante sana kwa taarifa bwana NJAA.K wa kisukuma Mayala maana yake ni njaa!Kama ni huyu hiyo ni nature yetu.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!
P.
Cha msingi mgonjwa mlengwa umemfahamuBasi huenda Tundu Lissu ndio mwathirika zaidi wa huu ugonjwa.
Ata wa ccm pia watauguaBasi Wabunge wa Chadema wataugua.. Maana wanaongoza kwa kutumia nguvu sana.. Wasikilize kina Lisu, Msigwa, Zitto.. Wanavyopayuka
Hakuna nilipomtaja mtu ndugu yangu usinitafutie kasheshe ikawa noma ikazaa nongwa buuree, tukaanza kuviziana bila sababu