Ndani ya CCM na Serikali bado moto unafukuta. Mwigulu kuja humu juzi na kumpiga dongo uchwara inaonyesha hali halisi. Mtapaka poda na mafuta uzuri kutoa rushwa ya mamilioni na vyeo lakini bado CCM haiko shwari na nchi bado inaenda mrama kama gari bovu.