Kila mmoja na zama zake!Anamfikia Mangula??
Tunangoja menyeviti wa mikoa wakokatwa ndio utajua ccm ina wenyewe.Ndani ya CCM na Serikali bado moto unafukuta. Mwigulu kuja humu juzi na kumpiga dongo uchwara inaonyesha hali halisi. Mtapaka poda na mafuta uzuri kutoa rushwa ya mamilioni na vyeo lakini bado CCM haiko shwari na nchi bado inaenda mrama kama gari bovu.
Eti walianza na Mungu; lakini inaonekana sasa wanamaliza na Shetani. Duh.Hawa jamaa kila wanachoomba, kinabuma! Ni ishara ya laana toka juu mbinguni.
Muwasho umewaongezeka baada ya kumuona anavyowamaliza kwa kupokea vijana waoKulizuka comment za Kinana kutoonekana kwenye vikao vya CCM ikafika hadi dhana ya kujiengua kimyakimya hivi kaonekana juzi jana kwenye hivo vikao watu kimya. Hili linaashiria nini hasa kimtazamo.