Kuondoa icloud lock

Watu kama wewe ndiyo huwa wanaharibu JF kwa kuongea bila kuwa na uhakika waandikayo!!
 


Hio ili kuweza kuitumia ni lazima ubadili motherboard au mashine mkuu
 
Hiyo ni ya wizi hiyo......acha wizi mkuu
 
wanajua fika haitoki ndo maana wamekujibu hivo. Yaani hata kujiongeza hujui mkuu
 
wanajua fika haitoki ndo maana wamekujibu hivo. Yaani hata kujiongeza hujui mkuu
Nilichokuwa nataka kujua mimi ni kama inatoka au haitoki na kwa nini haitoki na hii inataka mtu mwenye uelewa si tu kukurupuka na majibu mepesi mepesi!!!.
 
Mtakuja kuishia pabaya na vitu vya wizi vya aina hiyo.......shauri yako........
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…