sawee225
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 3,225
- 12,118
Mkuu kama autojali naomba nielekeze namna ya kupata iyo website maana nimeangalia video ila pale chini sijaona website ya kuondolea iyo background kama ilivosemekanaKifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.View attachment 1011373View attachment 1011374
Sent using Jamii Forums mobile app