habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,747
Habari zenu mabibi na mabwana, ni imani yangu kuwa mu wazima kiroho na kimwili, munaendelea na ujenzi Wa taifa.
Mie km mtanzania Wa hali ya chini, nimeumizwa sana na maamuzi ya serikali ambayo moja kwa moja ni maumivu kwetu sisi wanyonge kwa jina jingine masikini ambao ndio wapiga wapiga kura,
Wananchi hatuoni bunge, wananchi tumeambiwa ifikapo tar 16 juni elf mbili kumi na sita, tutazimiwa simu zetu, lkn mpaka sasa ukienda kariakoo unazikuta hizo simu feki zinauzwa, hatujakaa sawa tunaambiwa tena kuwa serikali imekuja na mpango Wa ving'amuzi Wa kufuta kuonyesha Chanel tano bure yaani ITV, STar tv, TBC na Channel 10. Sasa najiuliza Inamaana hapa duniani haya ndio majaaliwa yetu wanyonge? na tukitaka haki tutazikuta mbinguni? Hii sio haki aisee