ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,207
Nikiri kwanza sipo Vizuri sana kwenye roho ya kikauzu.
Ndugu: Nikope laki tatu nimalizie Kodi.
Ndugu: Nimekwama mwanangu(sio mama mzazi) Sina kitu nichangie chochote.
Rafiki: Naomba elfu kumi nisogeze siku pesa yangu bado haijatoka.
Ndugu:Nina mpango wa kufungua biashara nitakucheki basi uniongezee mtaji usiache pokea simu yangu.
Rafiki: Nikope elfu 20000
Ndugu: Nikope laki 200,000 nitakupa.
Rafiki: Nikope elfu 20,000 nimekwama.
Rafiki: Nimekwama Kaka nicheki la ten.
Mpenzi: Simu yangu mbovu na mpango wa kununua nyingine pesa ya haijakamilika.
Ndani ya tarehe 4/6/2019 Hadi leo hii 9/6/2019. Nimepokea request hizo hapo juu za pesa, kiukweli napitia kipindi kizito sana cha kujifunza kusema Hapana maana sikuzaliwa na roho ya kusema Hapana watu wangu wa karibu wanapokuwa na shidA ila hii inaniwia vigumu Sana.
Hivi kwenye ulimwengu wa kiroho hii ina maana gani? Kuna mtu anakutana na situation kama hii kwenye maisha yake?
Mnaweza kupambana na hali hii??Nimekataa request nyingine sana hapo juu nyingine Ni za watu karibu Sana.
Mwezi uliopita nimekopa watu jumla ya laki 2 tena kwa kubalance mambo kweli kweli.
Note:Sina maisha magumu ila sio tajiri kiasi cha kuwa na uwezo wa kusaidia watu kiwango hicho hapo.